Let us know! Organising a viewing party?

Partnerships / Ubia

Interested in partnering?

Partnerships allow sponsors to part of an event that will inspire people to change their lives, futures and, ultimately, the world. We’re looking for organizations & companies that are committed to the power of ideas and who will add to the unique atmosphere of TEDxIlala.

Kushirikiana kwenye ubia kunawawezesha wafadhili kuchangia motisha na kuwapa fursa walengwa ya kubadili maisha yao kwa maana ya kuyaboresha maisha yao ya mbeleni, jamii zao na hatimaye dunia nzima. Kama TEDxIlala tunatafuta ushirikiano na makampuni au mashirika yatakayo kuza na kusisitiza zaidi ujumbe wa nguvu za hoja na umuhimu wa maarifa katika kuboresha maisha kwenye jamii.

We’re currently developing our partnerships with supporters & sponsors, there is still time to be affiliated to TEDxIlala! As part of your participation, your company/orgaization will receive exposure and promotion in keeping with TEDx guidelines.

Bado tupo kwenye harakati za kujenga uhusiano na ushirikiano kati yetu na wafadhili, nab ado nafasi ipo ya kujihusisha na harakati hizi za TEDxIlala. Kama sehemu ya kushiriki kwenu, shirika au kampuni yenu itapata fursa ya kutangazwa kwa kupitia muongozo na utaratibu wa TEDx.

Get in touch with us if you’re like to be involved, fill out the partnership/sponsorship interest form or send an e-mail.

Wasiliana nasi kama unapenda kujihusisha nasi kwa kujaza ile fomu ya ubia/ufadhili au tutumie baruapepe.

x = independently organized event