Let us know! Organising a viewing party?

Speakers / Wazungumzaji

What will our talks be like? Mazungumzo au risala ziweje?

A TEDx Talk is a showcase for speakers presenting great, well-formed ideas in under 18 minutes.

Risala ya TEDx ni fursa anayopewa mzungumzaji kujadili maarifa yake yenye maana kubwa kwa kutumia si zaidi ya dakika 18.

Why 18 minutes? Kwa nini dakiaka 18?

This short talk model works, since it only demands the audience’s attention for a short period of time, decreasing the chance of minds wandering or daydreaming about lunch. In fact, some of the greatest TED Talks have been as short as 5 minutes long.

Huu ushauri wa kutumia muda mfupi wa maongezi unafanya kazi vizuri kwani watu wanaweza kusikiliza kwa umakini zaidi risala fupi fupi kuliko kujikuta wanawazawaza mambo mengine kama chakula cha mchana. Ukweli ni kwamba imeshawahi kutokea risala nzuri zaidi za TED ni zile fupi sana hadi kama dakika 5 tu.

What is a great, well-formed idea? Maarifa yanya maana kubwa kwa jamii ni yepi?

It can actually be one of two things:

 • Something that’s new and surprising; an idea or invention that your audience has never heard about.
 • A great basic idea (that your audience has maybe already heard) with a compelling new argument behind it that challenges beliefs and perspectives.

In other words, an idea isn’t just a story or a list of facts. A good idea takes certain evidence or observations and draws a larger conclusion.
Yanawezekana kua ya aina mbili:

 • Kitu au jambo jipya la kustaajabisha ambalo wasikilizaji hawajawahi kulisikia.
 • Kitu au jambo ambalo limewahikujulikana lakini unalielezea kwa njia mpya kwa kutumia dhana na fikra mpya zinazowaletea wanaokusikiliza changamoto mpya kuhusu kile wao walikuwa wamekiamini awali.
 • Kwa maneno mengine maarifa sio tu hadithi au orodha ya vitendo. Maarifa mazuri kwenye jamii ni yale yanayotokana na uchunguzi na ushuhuda ambao baadae unatetea maamuzi au hitimisho fulani la ujumla.

What are we NOT looking for / Kile ambacho hatukitafuti: :

We are bound by the TEDx Content Guidelines to follow a set of standards to follow when it comes to TEDx Talks. This includes:

 • No selling from the stage.
 • No political agendas.
 • No religious proselytizing (including new age beliefs).
 • Only good science.

Tunafuata utaratibu na muongozo wa TEDx kwenye mazungumzo na hizi risala za kuelezea maarifa tofauti. Hii ni pamoja na:

 • Jukwaa la kuzungumzia sio pahala pakuuzia bidhaa
 • Hatuhitaji ajenda za kisiasa
 • Hatuhitaji uhubiri wa aina yoyote
 • Tunahitaji sayansi nzuri tu
x = independently organized event